<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><hymn_number>95</hymn_number>
<title>Ivi Vita Vimekoma TZR95</title>
<lyrics>[V1]
 Aleluya! Aleluya! Aleluya!

[V2]
 Hivi vita vimekoma,
 Vimeshindwa na uzima,
 Na asifiwe daima,
 Bwana Yesu.

[V3]
 Nguvu za kifo ni hizo,
 Ila hazina uwezo,
 Ndizo sasa avunjazo,
 Bwana Yesu.

[V4]
 Siku tatu za huzuni,
 Kisha atoka ufuni,
 Asifiwe duniani,
 Bwana Yesu.

[V5]
 Mapingu ameyavunja,
 Mbingu amezifungua,
 Nasi sasa twamwimbia,
 Bwana Yesu.

[V6]
 Na ulivyopigwa wewe,
 Ni kwamba tufunguliwe,
 Milele na usifiwe,
 Bwana Yesu.</lyrics>
</song>